
Pakua app yetu ya Android na ufurahie mkusanyiko wa vipindi vya dini, mawaidha, qaswida, maulidi, na nyimbo za Kiislamu popote ulipo.
Matangazo ya shughuli, mafunzo na matukio mbalimbali
Bonyeza au telezesha kidole kuchungulia vipindi mbalimbali vya Faraja Yangu TV








Video zetu — zinapakiwa moja kwa moja kutoka kwenye CMS kila zikiongezwa. Bonyeza video kutazama.
Angalia muda wa vipindi vyako unavyovipenda
Burudika kwa burudani za dufu,kubwa,ndogo na mziki baridi
Pata kusikiliza ufundi wa Maqam mbali za Mafannan mbalimbali
Ufundi na ustadi wa usomaji wa Qur an kwa Maqam mbalimbali
Kila siku wasanii wote
Muda wowote
Jumamosi
Faraja Yangu TV ni jukwaa la televisheni la Kiislamu linalolenga kuleta mapinduzi ya kimtandao kwenye sekta ya Elimu, mawaidha, na burudani ya dini ya kiislamu moja kwa moja nyumbani kwako kupitia simu janja yako au Tv yako (SmartTV). Tunatoa vipindi mbalimbali vya dini, mawaidha, qaswida, maulidi, na Qaswida kwa ajili ya familia nzima.
Lengo letu ni kuwa chanzo cha faraja na mwanga katika nyoyo za waislamu wote, kukuletea maudhui yenye thamani na yenye kuleta amani ya kiroho.
Vipindi vya elimu ya Kiislamu, mawaidha, na nyimbo za kiroho kwaajili ya familia nzima.
Furahia maudhui yetu muda wote, siku nzima na usiku, popote ulipo duniani.
Programu yetu ya Android inakuwezesha kutazama maudhui yote popote pale ulipo.
Maudhui yetu yanafaa kwa wakubwa na watoto, kwa pamoja nyumbani kwako.
Chagua package inayokufaa kwa ajili ya shughuli yako. Unalipa asilimia 70% tu kama kianzio.
JAMVI LA ZAIDI YA DARASA 2 NA DARASA 2
Usafiri juu ya mwenye Shughuli kwenda na kurudi
KASI BORA (HUDUMA MAALUM)
KASI BORA (ZIARA BILA LIVE)
Usafiri juu ya mwenye Shughuli kwenda na kurudi

Pakua app ya Faraja Yangu TV kwenye simu yako ya Android na uanze kufurahia burudani ya Kiislamu popote ulipo. Bure kabisa!
Tuma ujumbe wako hapa na tutakujibu haraka iwezekanavyo.